Wakufunzi wa chuo cha Mitambo na Teknolojia IHET

Wakufunzi wa chuo cha Mitambo na Teknolojia IHET wakiwa na baadhi ya wanafunzi walipowatembelea katika eneo la Mafunzo kwa vitendo yanayofanywa na wanafunzi hao wanaotoka katika chuo cha IHET katika fani Mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo kama vile

  1. Auto Electrical
  2. Heavy Duty Equipment Mechanics