IHET YATOA MAFUNZO MKOANI GEITA
Chuo cha Mitambo na Uendeshaji wa Mashine zinazotumika katika ujenzi wa Balabala . Viwandani Migodini inatoa mafunzo mkoani Geita na kuwawezesha wahitimu kupata leseni F G na E Mafunzo yanaendelea…
INTAKE YA 69TH KARIBU IHET UJIFUNZE OPERATIONS ZA MITAMBO
Chuo cha Mitambo kinapenda kutangaza nafasi za masomo katika kozi za muda mfupi kwa intake ya 69th ambayo maombi yameaza kuokelewa jiunge nasi kwa kubonyeza links hii kwa kufanya maombi…
PUNGUZO LA ADA KWA KOZI ZA ICT MUHULA WA SEPTEMBER 2024
PUNGUZO LA ADA 20% KWA KOZI ZA ICT MUHULA WA SEPTEMBER 2024 Chuo cha IHET kinatoa Punguzo la ada kwa wahitimu wa kidato cha nne na wahitimu wa certiticate kujiunga…
Wakufunzi IHET kutembelea wanafunzi TEMESA
Wakufunzi wa chuo cha Mitambo na Teknolojia IHET Wakufunzi wa chuo cha Mitambo na Teknolojia IHET wakiwa na baadhi ya wanafunzi walipowatembelea katika eneo la Mafunzo kwa vitendo yanayofanywa na…