MAHAFALI YA 4TH IHET
Taarifa ya Sherehe ya Kuwa Graduates Tunapenda kuwakaribisha kwenye sherehe ya kuhitimu ya Chuo cha Mitambo na Teknolojia IHET itakayofanyika tarehe 22 Novemba 2024. Mahali: Ubungo Plaza Tunatarajia kusherehekea mafanikio…
PUNGUZO ASILIMIA 20% ADA SEPTEMBER -WAHI SASA SIKU ZIMEBAKI CHACHE
Nafasi ya kujiunga na kozi za ICT programu ya Certificate and Diploma in Information Technology upate punguzo la ADA kwa asilimia 20% kwa muhula wa September mwaka huu 2024
IHET YATOA MAFUNZO MKOANI GEITA
Chuo cha Mitambo na Uendeshaji wa Mashine zinazotumika katika ujenzi wa Balabala . Viwandani Migodini inatoa mafunzo mkoani Geita na kuwawezesha wahitimu kupata leseni F G na E Mafunzo yanaendelea…
INTAKE YA 69TH KARIBU IHET UJIFUNZE OPERATIONS ZA MITAMBO
Chuo cha Mitambo kinapenda kutangaza nafasi za masomo katika kozi za muda mfupi kwa intake ya 69th ambayo maombi yameaza kuokelewa jiunge nasi kwa kubonyeza links hii kwa kufanya maombi…
PUNGUZO LA ADA KWA KOZI ZA ICT MUHULA WA SEPTEMBER 2024
PUNGUZO LA ADA 20% KWA KOZI ZA ICT MUHULA WA SEPTEMBER 2024 Chuo cha IHET kinatoa Punguzo la ada kwa wahitimu wa kidato cha nne na wahitimu wa certiticate kujiunga…