Taarifa ya Sherehe ya Kuwa Graduates
Tunapenda kuwakaribisha kwenye sherehe ya kuhitimu ya Chuo cha Mitambo na Teknolojia IHET itakayofanyika tarehe 22 Novemba 2024.

Mahali:
Ubungo Plaza
Tunatarajia kusherehekea mafanikio ya wanafunzi wetu na kuwapongeza kwa juhudi zao. Karibu wote!

Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
0754 300 200