TANGAZO LA KAZI | TRAINERS – MOBILE CRANE, AUTO ELECTRIC NA HEAVY DUTY MECHANICS

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET), anayofuraha kutangaza nafasi ya ajira tatu (3),

1. Mobile crane trainer. 2. Auto Electric Trainer 3. Heavy duty mechanics Trainer

Kituo cha kazi: IHET Kijitonyama, DSM.

Sifa za waombaji:

  1. Awe na elimu ya Cheti au Diploma kwenye fani husika (Mobile crane, Auto Electric, Heavy duty mechanics ).
  2. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitano (5).
  3. Mobile crane trainer awe na cheti cha Trainer kutoka VETA.

Maombi yatumwe kwa mkuu wa chuo, chuo cha mitambo na teknolojia (IHET) kupitia barua pepe admin@ihet.ac.tz

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/02/2022 saa nane kamili mchana.