TANGAZO LA KAZI | FRONT OFFICE – NAFASI MOJA

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Tekinolojia (IHET) Dar es Salaam, anapenda kutangaza nafasi ya kazi FRONT OFFICE nafasi moja.

VIGEZO:

  1. Muombaji awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 30.
  2. Awe na sifa/elimu ya Cheti au Diploma kutoka chuo kinachotambulika.
  3. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika vizuri kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili.
  4. Awe anajua kutumia Kompyuta; Programu kama MS. WORD, MS. EXCEL, EMAIL na Intaneti.

Waombaji wenye sifa watume CV na Barua ya Maombi kupitia email: recruitment@ihet.ac.tz

Maombi yatumwe kabla ya tarehe 20/8/2022