Tangazo la Ajira.
Wanahitajika maopareta wa mitambo (Motor grader operators) wenye sifa na uzoefu wa kuopareti motor grader, zoefu usiopungua miaka miwili.
Usaili utafanyika siku ya Jumatano tarehe 27/7/2022.
Muda: Saa mbili asubuhi.
Mahali: Chuo cha mitambo IHET Kijitonyama
Kituo cha kazi: Mradi wa bwawa la umeme Rufiji.
Waombaji wote wenye sifa wafike kwenye usaili wakiwa na vyeti vyao vya mafunzo vinavyotambulika pamoja na leseni za udereva wa mtambo husika.
Maombi ya kazi na CV ya muombaji vitumwe kwenye email: recruitment@ihet.ac.tz
Kwa taarifa zaidi
Tembelea website yetu www.ihet.ac.tz
Email: recruitment@ihet.ac.tz au tupigie simu namba +255754300200 / +255748221919 / +255711597778.