MUHULA MPYA WA MASOMO | OKTOBA 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi October, 2021 yataanza tarehe 4/10/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET KIJITONYAMA DSM. Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni KijitoRead More…