SABASABA 2022

Karibu kwenye banda letu la maonesho ya 46 ya biashara SABASABA 2022. Tupo jengo la Jakaya Kikwete chumba namba 36.

Utaweza kufahamu kuhusu IHET na huduma zote tunazotoa.