Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya Computer (Computer course) yataanza mapema mwezi July 2020 chuoni Kijitonyama. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu namba +255719348778.
Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 19 yanaendelea chuoni Kijitonyama Dar es Salaam na Mwanza, wote mnakaribiswa.