MUHULA MPYA WA MASOMO | JUNE 2022
Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi June, 2022 yataanza tarehe 6/6/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Mwanafunzi wa Hydraulic Excavator ORead More…