MUHULA MPYA WA MASOMO | SEPTEMBA 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Septemba, 2022 yataanza tarehe 5/9/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma,&nRead More…

AWAMU YA PILI | WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI (FANI MBALIMBALI) KWA MWAKA WA MASOMO 2022

Na.JINAKOZIANWANI1ALLY JUMAHEAVY DUTY MECHANICSDAR ES SALAAM2JOSEPH PATRICKHEAVY DUTY MECHANICS MPANDA3ABDALA NASSORO HEAVY DUTY MECHANICS TABORA4AHMEDI YUSUPH HEAVY DUTY MECHANICS KASURU KIGOMA5ISACK KULASAUKWA HEAVY DUTY MECHANICS DAR ES SALAAM6REMMY ELES HEAVY DUTY MECHANICS KIGOMA7GEORGE SAMWELI HEAVY DUTY MECHANICS DAR ES SALAAM8SAM SOKOLO KASEKO HEAVY DUTY MECHANICS DODOMA9GOVINDA JUNIOR MARead More…

MWAKA WA MASOMO 2022 | LONG COURSE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa mwaka mpya wa masomo 2022, yataanza tarehe 17/1/2022 kwa waombaji wa fani za:- Ufundi wa mitambo Ufundi wa magari makubwa na madogoUchomeleaji na Umeme wa magari. Maombi ya kujiunga na masomo ya ufundi ya muda mrefu (Long Course 2022) yanapokelewa chuoni IHET Kijitonyama Dar es Salaam, IHET Nala Dodoma, na Ilemela MWANRead More…