TANGAZO LA KAZI YA UALIMU WA MAGARI MADOGO
TANGAZO LA KAZI YA UALIMU WA MAGARI MADOGO Read More…
TANGAZO LA KAZI YA UALIMU WA MAGARI MADOGO Read More…
Mkuu wa chuo cha Mitambo na Tekinolojia (IHET) Dar es Salaam, anapenda kutangaza nafasi ya kazi FRONT OFFICE nafasi moja. VIGEZO: Muombaji awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 30.Awe na sifa/elimu ya Cheti au Diploma kutoka chuo kinachotambulika. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika vizuri kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili.Awe anajua kutumia Kompyuta; Programu kama MS. WORD, MS. EXCERead More…
Tangazo la Ajira.Wanahitajika maopareta wa mitambo (Motor grader operators) wenye sifa na uzoefu wa kuopareti motor grader, zoefu usiopungua miaka miwili. Usaili utafanyika siku ya Jumatano tarehe 27/7/2022.Muda: Saa mbili asubuhi.Mahali: Chuo cha mitambo IHET KijitonyamaKituo cha kazi: Mradi wa bwawa la umeme Rufiji. Waombaji wote wenye sifa wafike kwenye usaili wakiwa na vyeti vyao vya maRead More…
Tangazo la kazi.Wanahitajika Mafundi na maopareta wa mitambo wenye sifa na uzoefu katika fani husika kama ifuatavyo:- Heavy Duty Construction Equipment Operator – Concrete Pump – Nafasi 3.Heavy Duty Construction Equipment Operator – Crane – Nafasi 1.Heavy Duty Construction Equipment Operator – Dozer – Nafasi 5.Heavy Duty Construction Equipment Operator – Driller – Nafasi 2.Heavy Duty ConstructRead More…