MWAKA WA MASOMO 2022 | LONG COURSE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa mwaka mpya wa masomo 2022, yataanza tarehe 17/1/2022 kwa waombaji wa fani za:- Ufundi wa mitambo Ufundi wa magari makubwa na madogoUchomeleaji na Umeme wa magari. Maombi ya kujiunga na masomo ya ufundi ya muda mrefu (Long Course 2022) yanapokelewa chuoni IHET Kijitonyama Dar es Salaam, IHET Nala Dodoma, na Ilemela MWANRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Novemba, 2021 yataanza tarehe 8/11/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapokelewa cRead More…

WAHITIMU KIDATO CHA NNE 2020

Chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) kinapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kidato cha nne ambao wanapenda kujiunga na fani mbalimbali za ufundi kuwa chuo bado kinapokea wanafunzi wa Level 1 na Level 2. Chuo kinatoa mafunzo bora ya ufundi katika fani mbalimbali zilizo katika ushindani mkubwa wa soko la ajira na kujiajiri kama vile:- – Ufundi wa mitambo – Ufundi wa magari makubwa na madogo Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2020 MWANZA

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa maombi ya mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani awamu ya 6 kwa waombaji wa Mwanza yataanza kupokelewa  mapema tarehe 2 mwezi Novemba 2020 chuoni  Ilemela Mwanza na Kijitonyama DSM.  Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni KijiRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | OCTOBA 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 22 yataanza mapema tarehe 5 mwezi Octoba 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Mafunzo ya udereva wa magari na computer yanaendelea chuoni Kijitonyama. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simRead More…

OFA | WANAFUNZI 100

PUNGUZO LA HADI 25%  OFA KWA WANAFUNZI 100 WAKWANZA KURUDISHA FOMU KABLA YA TAREHE 30 MWEZI WA TISA 2019. WATAPATA PUNGUZO LA ADA KWA 25%. FOMU ZINAPATIKANA KWENYE WEBSITE YA CHUO AU FIKA CHUONI KIJITONYAMA DSM NA ILEMELA MWANZA MAWASILIANO MAIN OFFICE: KIJITONYAMA DAR ES SALAAM P.O.Box 55079 DSM, TANZANIA. Call: +255(0)222700745 / +255(0)754300200 / +255(0)719348778 Email:Read More…

Muhula mpya wa masomo mwezi Februari 2019

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa muhula mpya wa masomo utaanza tarehe 11/2/2019, Mafunzo na kozi zitakazo tolewa ni pamoja na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo, mafunzo ya uchomeleaji (welding), umeme wa magari (Auto electric), ufundi wa magari (mechanics) na Computer. Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni Kijitonyama na kwenye website ya chuo. Wote mnakaribishwa. Read More…