WAHITIMU KIDATO CHA NNE 2020

Chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) kinapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kidato cha nne ambao wanapenda kujiunga na fani mbalimbali za ufundi kuwa chuo bado kinapokea wanafunzi wa Level 1 na Level 2.

Chuo kinatoa mafunzo bora ya ufundi katika fani mbalimbali zilizo katika ushindani mkubwa wa soko la ajira na kujiajiri kama vile:-
– Ufundi wa mitambo
– Ufundi wa magari makubwa na madogo
-Umeme wa magari
-Uundaji vyuma
Pamoja na kozi fupi za uendeshaji wa mitambo ya uzalishaji viwandani na migodini.

Tunapatikana Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma.
Tafadhali tupigie kupitia namba 0754300200 au 0711597778 au 0748221919.

Website www.ihet.ac.tz