UFADHILI WA MASOMO | WHEEL LOADER

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknolojia (IHET) Tawi la Mwanza anapenda kuutangazia uma na wadau wa mitambo,

Ofa kwa waombaji wa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo IHET tawi la Mwanza, Chuo kinatoa ufadhili wa masomo kwa waombaji wa Wheel Loader tawi la Mwanza kwa asilimia 20 (20%). Fika chuoni Ilemela kona ya kuelekea tunza na Malaika au tupigie simu namba 0719348778, 0747175175 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz  Masomo yataanza tarehe 3/2/2020 chuoni IHET ILEMELA.