UFADHILI WA MASOMO | WHEEL LOADER & CRANE OPERATION COURSE SPONSORSHIP

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuutangazia uma na wadau wa mitambo kuwa, kutakua na ufadhili wa masomo kwa waombaji wa kozi za wheel loader na crane kwa mihula itakayoanza Octoba 21 na Novemba 25. Waombaji wenye sifa watapata ufadhili wa hadi 50%. Kujisajili bofya hapa .

Mafunzo ya uendeshaji mitambo na Kompyuta muhula mpya (awamu ya 14) yataanza tarehe 21/10/2019 Chuoni Dar Es Salaam na Mwanza. Kujiunga pakua fomu kwenye website ya chuo www.ihet.ac.tz au tupigie simu namba 0754300200, 0719348778 na 0747175175 kwa waombaji wa Mwanza.