Tangazo | Usajiri October 2017

Uongozi wa chuo IHET unapenda kuwatangazia kua usajiri kwa wanafunzi waliochukua form utaanza tarehe 16/10/2017 jumatatu hadi tarehe 21/10/2017 Jumamosi, chuoni kijitonyama. Masomo yataanza tarehe 23/10/2017.