TANGAZO: Usajiri wa wanafunzi

INSTITUTE OF HEAVY EQUIPMENT AND TECHNOLOGY

Jifunze kuendesha mitambo ya ujenzi wa barabara na migodini kama Motor Grader, Roller, Bulldozer, Hydraulic Excavator, Wheel Loader, Dump Truck, Forklift and Telehandlers (Man cage). Pia utapata mafunzo ya ufundi wa magari makubwa na madogo (Motor Vehicle Mechanics, Truck Mechanics & Plant Mechanics) na umeme wa magari (Auto Electric) pamoja na ufundi wa kuchomelea (Welding and Fabrication).

Wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo: – 0716829888 na 0654389169 au tuandikie barua pepe kupitia email yetu instituteihet@gmail.com pia unaweza tembelea website yetu www.ihet.ac.tz kwa maelezo zaid. Tupo Science Kijitonyama, Bagamoyo road. Usajiri unaendelea Nyote mnakaribishwa.