TANGAZO | SPECIAL TRAINING COURSE FOR CRANE OPERATOR

Mkuu wa chuo cha Mitambo na TeknoloJia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa kutakua na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo ya kunyanyua vitu (Crane Operator Training Course). Mafunzo yatakayotolewa ni pamoja na Refresher training kwa wanaotoka kazini na wenye uzoefu wa mashine.

Mafunzo yataanza tarehe 21/10/2019 chuoni Kijitonyama. Wale wote wanaohitaji mafunzo haya wanaweza kufika chuoni Kijitonyama au wakatupigia simu namba 0754300200, 0719348778 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz .

Pia kozi za Computer (Computer course) na uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara na viwandani zinaendelea.