Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET), anayofuraha kutangaza nafasi ya ajira moja (1) ya Secretary (Katibu).
Kituo cha kazi: IHET Kijitonyama, DSM.
Sifa za waombaji:
- Awe msichana umri kuanzia miaka 18 hadi 28.
- Mwenye uwezo mzuri wa kutumia Kompyuta na programu zake kama MS office Excel, MS Office Word na Email.
- Anayeweza kuzungumza na kuandika vizuri lugha ya Kiingereza na Kiswahili.
- Awe na elimu ya Cheti au Diploma kwenye fani ya secretary au fani zingine.
Maombi yatumwe kwa mkuu wa chuo, chuo cha mitambo na teknolojia (IHET) kupitia barua pepe admin@ihet.ac.tz
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 2/11/2021 saa nane kamili mchana.