TANGAZO LA KAZI | MARKETING REPRESENTATIVE

Mkuu wa chuo cha Mitambo (IHET) anapenda kutangaza nafasi ya kazi kwa afisa masoko mwenye uzoefu wa kuanzia miaka mitatu (3) ya kazi na elimu ya angalau Stashahada.

Kwa waombaji tuma wasifu na barua ya maombi kwa njia ya email: principal@ihet.ac.tz au instituteihet@gmail.com