TANGAZO LA KAZI | OPARETA WA MITAMBO, ELECTRICAL, MECHANICAL, WELDING AND RIGGING TECHNICIAN – 76 POST

Tangazo la kazi.
Wanahitajika Mafundi na maopareta wa mitambo wenye sifa na uzoefu katika fani husika kama ifuatavyo:-

 1. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Concrete Pump – Nafasi 3.
 2. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Crane – Nafasi 1.
 3. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Dozer – Nafasi 5.
 4. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Driller – Nafasi 2.
 5. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Excavator – Nafasi 20.
 6. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Forklift – Nafasi 4.
 7. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Motor Grader – Nafasi 12.
 8. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Soil Reclaimer – Nafasi 5.
 9. Heavy Duty Construction Equipment Operator – Wheel Loader – Nafasi 4.
 10. Technical Office Engineer – Equipment – Nafasi 5.
 11. Technician – Electrician – Nafasi 2.
 12. Technician – Mechanical – Nafasi 5.
 13. Technician – Rigging – Nafasi 2.
 14. Technician – Welding – Nafasi 2.
 15. Technician – Metal Fabrication – Nafasi 2.


Usaili utafanyika kuanzia siku ya Jumatatu tarehe 25/7/2022.
Muda: saa mbili asubuhi.
Mahali: Chuo cha mitambo IHET Kijitonyama
Kituo cha kazi: Mradi wa bwawa la umeme Rufiji.

Waombaji wote wenye sifa wafike kwenye usaili wakiwa na vyeti vyao vya mafunzo ya fani husika vinavyotambulika pamoja na leseni kwa maopareta wa mitambo.

Maombi ya kazi husika na CV ya muombaji vitumwe kwenye email: recruitment@ihet.ac.tz

Kwa taarifa zaidi

Tembelea website yetu www.ihet.ac.tz
Email: recruitment@ihet.ac.tz au tupigie simu namba +255754300200 / +255748221919 / +255711597778.