TANGAZO LA KAZI | HEAVY DUTY CONSTRUCTION EQUIPMENT OPERATOR (TIPPER TRUCK) – 100 POSTS

Jobs new Recruitment

Tangazo la Ajira.
Wanahitajika maopareta wa mitambo (Heavy Duty Construction Equipment Operator – Tipper Truck) wenye sifa na uzoefu wa kuopareti mtambo, uzoefu usiopungua miaka miwili.


Kituo cha kazi: Mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere – Rufiji.

Maombi ya kazi na CV ya muombaji pamoja na Leseni ya udereva vitumwe kwenye email: recruitment@ihet.ac.tz kabla ya tarehe 11/10/2022.

Kwa taarifa zaidi

Tembelea website yetu www.ihet.ac.tz
Email: recruitment@ihet.ac.tz au tupigie simu namba +255754300200 / +255748221919 / +255711597778.