Tangazo la Ajira.
Wanahitajika maopareta wa mitambo (Cane Harvester operators) wenye sifa na uzoefu wa kuopareti mtambo, uzoefu usiopungua miaka miwili.
Kituo cha kazi: Bagamoyo.
Maombi ya kazi na CV ya muombaji vitumwe kwenye email: recruitment@ihet.ac.tz
Kwa taarifa zaidi
Tembelea website yetu www.ihet.ac.tz
Email: recruitment@ihet.ac.tz au tupigie simu namba +255754300200 / +255748221919 / +255711597778.