Tangazo | Kuanza masomo tarehe 22/1/2018

Tunapenda kuwatangazia wanafunzi wetu na watu wote masomo yataanza tarehe 22/1/2018. Fomu zakujiunga zinapatikana chuoni Kijitonyama karibuni sana.