UFADHILI WA MASOMO | WHEEL LOADER & CRANE OPERATION COURSE SPONSORSHIP
Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuutangazia uma na wadau wa mitambo kuwa, kutakua na ufadhili wa masomo kwa waombaji wa kozi za wheel loader na crane kwa mihula itakayoanza Octoba 21 na Novemba 25. Waombaji wenye sifa watapata ufadhili wa hadi 50%. Kujisajili bofya hapa . Mafunzo ya uendeshaji mitambo na Kompyuta muhula mpya (awamu ya 14) yataanza tarehe 21/10/2Read More…