MUHULA MPYA WA MASOMO FANI ZA UENDESHAJI WA MITAMBO | MACHI 2023
Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi wa tatu Machi 01 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombiRead More…