SEPTEMBER OFFER | WHEEL LOADER AND FORKLIFT
Kutakuwa na offer kwa kozi za uendeshaji wa mitambo kwa mwezi wa tisa (9), 2021 katika kozi zifuatazo:- i. Uendeshaji wa mtambo aina ya Wheel loader. ii. Uendeshaji wa mtambo aina ya Forklift. Kozi hizi zote zitatolewa katika mwezi wa tisa na zitachukua muda wa mwezi mmoja kukamilika. KUMBUKA: Offer hii itawahusu wale wote ambao walishawai kusoma kozi ya uendeshaji Mtambo katika vRead More…