MUHULA MPYA WA MASOMO NGAZI YA CERTIFICATE NA DIPLOMA YA ICT | MACHI 2023

PAKUA FORM YA KUJIUNGA Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya wa masomo katika ngazi ya certificate na diploma tunaanza kupokea wanafunzi kuanzia machi 01, 2023 Pia IHET inatoa punguzo la asilimia 20% katika ada kwa wataochaguliwa kujiunga katika ngazi hizi Hostel/ Mabweni yapo Kwa watakao hitaji. BONYEZA HAPA KUPATA FORM PIA IHET INATOA KOZIRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO FANI ZA UENDESHAJI WA MITAMBO | MACHI 2023

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi wa tatu Machi 01 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombiRead More…

RESULTS | LONG COURSE LEVEL 1 IST TERM 2022

RESULTS 1ST TERM LONG COURSE – LEVEL I 2022 S/NREG. NOAVERAGEGRADEREMARK1IHET/LC/HDM/22/06457.6DPOOR2IHET/LC/HDM/22/06567.3CGOOD3IHET/LC/HDM/22/0665.2FVERRY POOR4IHET/LC/HDM/22/06745.6DPOOR5IHET/LC/HDM/22/06849.1DPOOR6IHET/LC/HDM/22/06961.8CGOOD7IHET/LC/HDM/22/0702.5FVERRY POOR8IHET/LC/HDM/22/07265.3CGOOD9IHET/LC/HDM/22/07377.7BVERRY GOOD10IHET/LC/HDM/22/07457.2DPOOR11IHET/LC/HDM/22/07553.4DPORead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | AUGUST 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi August, 2022 yataanza tarehe 1/8/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWARead More…

TANGAZO LA KAZI | OPARETA WA MITAMBO, ELECTRICAL, MECHANICAL, WELDING AND RIGGING TECHNICIAN – 76 POST

Tangazo la kazi.Wanahitajika Mafundi na maopareta wa mitambo wenye sifa na uzoefu katika fani husika kama ifuatavyo:- Heavy Duty Construction Equipment Operator – Concrete Pump – Nafasi 3.Heavy Duty Construction Equipment Operator – Crane – Nafasi 1.Heavy Duty Construction Equipment Operator – Dozer – Nafasi 5.Heavy Duty Construction Equipment Operator – Driller – Nafasi 2.Heavy Duty ConstructRead More…

COMPUTER COURSE | JUNE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo ya kozi za Computer (Computer courses) yataanza mapema mwezi June, 2022. Introduction to computer.Basic computer Application.Graphics Design.Website Design.Computer Programing.Computer Maintenance and Repair. Computer courses | June 2022 Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 au 0748221919 au 0719348778 au 07Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | FEBRUARI 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Februari, 2021 yataanza tarehe 7/2/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, mRead More…

MWAKA WA MASOMO 2022 | LONG COURSE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa mwaka mpya wa masomo 2022, yataanza tarehe 17/1/2022 kwa waombaji wa fani za:- Ufundi wa mitambo Ufundi wa magari makubwa na madogoUchomeleaji na Umeme wa magari. Maombi ya kujiunga na masomo ya ufundi ya muda mrefu (Long Course 2022) yanapokelewa chuoni IHET Kijitonyama Dar es Salaam, IHET Nala Dodoma, na Ilemela MWANRead More…