TANGAZO LA AJIRA | MOTOR GRADER OPERATOR – 12 POST
Tangazo la Ajira.Wanahitajika maopareta wa mitambo (Motor grader operators) wenye sifa na uzoefu wa kuopareti motor grader, zoefu usiopungua miaka miwili. Usaili utafanyika siku ya Jumatano tarehe 27/7/2022.Muda: Saa mbili asubuhi.Mahali: Chuo cha mitambo IHET KijitonyamaKituo cha kazi: Mradi wa bwawa la umeme Rufiji. Waombaji wote wenye sifa wafike kwenye usaili wakiwa na vyeti vyao vya maRead More…