MUHULA MPYA WA MASOMO 2020
Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani kwa mwaka wa masomo 2020, yataanza tarehe 6/1/2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Mafunzo yatakayotolewa ni pamoja na:- Ufundi wa magari makubwa na madogo Kuchomelea Umeme wa magari Udereva UendRead More…