MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBER 2019
Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) kwa kushirikiana na Chuo kishiriki EKAMI kutoka nchini FINLAND anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 15 yataanza tarehe 25/11/2019 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu namba +255754300200 au +255719348778Read More…