TANGAZO | SPECIAL TRAINING COURSE FOR CRANE OPERATOR

Mkuu wa chuo cha Mitambo na TeknoloJia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa kutakua na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo ya kunyanyua vitu (Crane Operator Training Course). Mafunzo yatakayotolewa ni pamoja na Refresher training kwa wanaotoka kazini na wenye uzoefu wa mashine. Mafunzo yataanza tarehe 21/10/2019Read More…