MAOMBI | FANI ZA MUDA MREFU (LONG COURSES JULY 2021)
Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa maombi ya kujiunga na masomo ya muda mrefu (long courses) mwezi July 2021, yanapokelewa hadi sasa chuoni Kijitonyama na Dodoma. Fani zinazotolewa:- Uchomeleaji (Welding and Fabrication) Level I mwaka mmoja. Umeme wa magari (Auto Electric) Level I mwaka mmoja. Ufundi wa magari (Motor Vehicle Mechanics) Level Read More…