SEPTEMBER OFFER | WHEEL LOADER AND FORKLIFT

Kutakuwa na offer kwa kozi za uendeshaji wa mitambo kwa mwezi wa tisa (9), 2021 katika kozi zifuatazo:-

i. Uendeshaji wa mtambo aina ya Wheel loader.
ii. Uendeshaji wa mtambo aina ya Forklift.


Kozi hizi zote zitatolewa katika mwezi wa tisa na zitachukua muda wa mwezi mmoja kukamilika.
KUMBUKA: Offer hii itawahusu wale wote ambao walishawai kusoma kozi ya
uendeshaji Mtambo katika vituo vyetu IHET Kijitonyama, IHET Mwanza pamoja
na IHET Dodoma.
GHARAMA ZA OFFER
Mwananfunzi mwenye uhitaji wa offer anatakiwa kulipa gharama zifuatazo katika
kipindi chote cha Masomo.
a) Ada ya mafunzo ni 850,000/=
b) Fomu ya kujiunga 10,000/=
c) Gharama za Vitabu 10,000/=
JUMLA = 870,000/=
TARATIBU ZA KUPATA OFFER
a) Kulipia ada na kufanya usajili kabla ya muda wa mafunzo tarehe 1st
September 2021, kwa wale wanaolipa full payment.
b) Kwa wale wanaolipia kwa awamu unatakiwa kulipia kiasi cha shillingi
620,000/ na kumalizia kiasi kilchobakia baada ya siku 30.
c) Muda wa kufanya usajili ni kuanzia Tarehe 12nd July 2021 mpaka
Tarehe 31st August 2021

Kwa mawasiliano tupigie simu namba : +255(0)754300200 au +255(0)719348778. 

Imetolewa Idara ya Mitambo na Technolojia IHET.