SABASABA 2022 2nd July 20222nd July 2022 Karibu kwenye banda letu la maonesho ya 46 ya biashara SABASABA 2022. Tupo jengo la Jakaya Kikwete chumba namba 36. Utaweza kufahamu kuhusu IHET na huduma zote tunazotoa. Tanzania ni sehemu sahihi kwa biashara na uwekezaji | SABASABA 2022