OFA YA MWEZI WA RAMADHAN NA SIKUU YA EID

Katika msimu huu wa sikukuu ya Eid tunatoa ofa kwa atakae rudisha form katika kipindi hiki hatalipia gharama za form. Wahi sasa ujifunze kuendesha Hydraulic Excavator , Motor grader , Dozzer na mitambo mingine.