November – 2018 Intake

TANGAZO MUHULA MPYA WA MASOMO NOVEMBA 2018

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknologia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Operator Training Course) muhula mpya mwezi Novemba yataanza tarehe 5/11/2018 chuoni Kijitonyama. Wale wote wanaohitaji mafunzo haya wanaweza kufika chuoni Kijitonyama au wakatupigia simu namba 0654389169, 0655435103, 0712078601 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz .

Pia kozi za Computer (Computer course) zinaendelea kwa gharama nafuu.