MUHULA MPYA WA MASOMO | OCTOBA 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 22 yataanza mapema tarehe 5 mwezi Octoba 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza.

Mafunzo ya udereva wa magari na computer yanaendelea chuoni Kijitonyama.

Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu namba +255754300200, +255711597778 au +255719348778 kwa Dar es Salaam na +255747175175 kwa Mwanza, wote mnakaribiswa.