Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuwatangazia wote kuwa maombi ya mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani awamu ya 6 kwa waombaji wa Mwanza yataanza kupokelewa mapema tarehe 2 mwezi Novemba 2020 chuoni Ilemela Mwanza na Kijitonyama DSM.
Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni Kijitonyama kwa fani zote za ufundi wa mitambo, uendeshaji wa mitambo, udereva wa magari na kompyuta. Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 au 0748221919 na 0747175175 kwa waombaji wa Mwanza.