Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya wa masomo katika ngazi ya certificate na diploma tunaanza kupokea wanafunzi kuanzia machi 01, 2023 Pia IHET inatoa punguzo la asilimia 20% katika ada kwa wataochaguliwa kujiunga katika ngazi hizi Hostel/ Mabweni yapo Kwa watakao hitaji. BONYEZA HAPA KUPATA FORM
PIA IHET INATOA KOZI ZA MUDA MFUPI ZA COMPUTER
- Computer Application
- Website Designing
- Programming
- Networking
Mafunzo yanafanyika kwa kutumia nyenzo bora na za kisasa za kufundishia Karibuni sana

