Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa awamu ya 27, March 2021 yameanza tarehe 1/3/2021 chuoni IHET DSM na MWANZA.
Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni Kijitonyama kwa fani zote za ufundi wa mitambo, uendeshaji wa mitambo, udereva wa magari na kompyuta. Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 au 0748221919 na 0747175175 kwa waombaji wa Mwanza.