Muhula mpya wa masomo mwezi Februari 2019

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa muhula mpya wa masomo utaanza tarehe 11/2/2019, Mafunzo na kozi zitakazo tolewa ni pamoja na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo, mafunzo ya uchomeleaji (welding), umeme wa magari (Auto electric), ufundi wa magari (mechanics) na Computer.

Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni Kijitonyama na kwenye website ya chuo. Wote mnakaribishwa.