MUHULA MPYA WA MASOMO | MAY 2021 DSM & DODOMA CENTER

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa muhula mpya wa masomo mwezi MEI 2021  yataanza mapema mwezi MEI, 2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Usajili unaendelea chuoni IHET Kijitonyama na Nala Dodoma. 

Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni Kijitonyama kwa fani zote za ufundi wa mitambo, uendeshaji wa mitambo, udereva wa magari na kompyuta. Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 au 0748221919 na 0747175175.

Wote mnakaribishwa