MUHULA MPYA WA MASOMO | JULY 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 19 pamoja na kozi za Computer yataanza mapema mwezi July 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu namba  +255719348778 kwa Dar es Salaam na +255747175175 kwa Mwanza, wote mnakaribiswa.