MUHULA MPYA WA MASOMO AUGUST 2019 NA MWAKA WA MASOMO 2019/2020

 

 

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknologia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Operator Training Course) muhula mpya mwezi August yataanza tarehe 26/8/2019 chuoni Kijitonyama. Wale wote wanaohitaji mafunzo haya wanaweza kufika chuoni Kijitonyama au wakatupigia simu namba 0754300200, 0719348778 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz .

Masomo kwa kozi za muda mrefu (long courses) mwaka 2019/2020 yataanza mapema mwezi January 2020 kwa kozi zifutazo:-

  • Auto Electric – Level I and II 
  • Welding and Fabrication – Level I and II
  • Plant Mechanics – Level 1 – Level I and II
  • Motor Vehicle Mechanics – Level I and II 

Kozi za Computer (Computer course) zinaendelea kwa gharama nafuu.