Muhula mpya wa masomo April 2018

Tunapenda kuwatangazia kua muhula mpya wa masomo mwezi wa nne umeanza. Tunawakaribisha wote wanaotaka kujifunza kozi za mitambo ya ujenzi wa barabara na migodini. Fika chuoni Kijitonyama au pakua fomu ya kujiunga katika tovuti yetu www.ihet.ac.tz au piga simu namba 0654389169 au 0655435103.