MUHULA MPYA WA MASOMO 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote
kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara
migodini na viwandani kwa mwaka wa masomo 2020, yataanza tarehe 6/1/2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza.

Mafunzo yatakayotolewa ni pamoja na:-

  1. Ufundi wa magari makubwa na madogo
  2. Kuchomelea
  3. Umeme wa magari
  4. Udereva
  5. Uendeshaji wa mitambo na 
  6. Kozi za Kompyuta

Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu
namba +255754300200 au +255719348778 kwa Dar es Salaam na +255747175175
kwa Mwanza, au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz

wote mnakaribiswa.