Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknologia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Operator Training Course) muhula mpya mwezi Julai yataanza tarehe 22/7/2019 chuoni Kijitonyama. Wale wote wanaohitaji mafunzo haya wanaweza kufika chuoni Kijitonyama au wakatupigia simu namba 0754300200, 0719348778 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz .
Pia kozi za Computer (Computer course) zinaendelea kwa gharama nafuu.